TTCL

EQUITY

Saturday, May 25, 2013

Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania(TAWLA)Watoa matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake





  Jaji wa Mahakama Kuu Patricia Fikirini (kulia) akitoa maoni yake jana jijini Dares salaam kuhusu mjadala kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mstaafu Eusebia Munuo.
 
 Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania (TAWLA) Aisha Bade (kulia) akitoa
ufafanuzi jana mjini Dar es salaam kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Tarsua Kesoka.
 
 Baadhi ya wadau wakiwa na wanachama wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania (TAWLA) wakiwa mkutano jana jijini Dar es salaam ulikuwa unajadili matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake.  Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA.
 
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Wilaya ya Kinondoni Charles Mnzava (kulia) akichangia mjadala jana jijini Dare s salaam kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilayani Ilala Raphael David.

No comments:

Post a Comment