CLUB YA JOURNALISM AND BROADCASTING YAFANYA MAAFALI YA KUWAAGA WAHITIMU WA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA
Club hiyo yenye makao makuu yake Jijini arusha hii leo wamefanya maafali ambayo yaliambatana na tafrija fupi lengo ikiwa ni kuwapongeza wanachama wake wanao hitimu hivi karibuni na kwataka kuwa makini na wenye kujituma katika shughuli zao, aidha mgeni rasma Bw. Charles Massawe aliwahusia wanachama kuwa wenye bidiii nawasio kata tamaa kama ilivyo ari yao ya chama isemayo "Nothing is difficult forever" kwamaana hakuna lisilo wezekana daima.
sambamba na hayo kulikuwepo na burudani nyingi zilizo ambatana na maigizo ya jukwaani, ngonjera, nyimbo ambapo aliweza kusimama mtummoja maarufu chuoni hapo anaye kwenda kwa jina la utani mbunge huku jina lake halisi akiitwa isaya michael munishi, aidha hakuwa peke yake alikuwemo mtumwingine wanaye mwita Ngeleja (Fidelis Mrina).
Kushoto ni Bw. Isaya Michael Munishi (Mbunge) na kulia ni Bi.
Carolin Johnson walio husika kusoma risala, kutoa burudani ambao pia ni wahitimu.
wakwanza kushoto ni mwl. mlezi wa club bw. Lucas Modah,
wapili ni Bw. Charles Massawe mgeni rasmi kwenye mahafali ya JBC
na watatu kushoto ni Mwenye kiti wa JBC Bw. Mathayo Saruma
na Bi. josephine Charles kaimu mwenyekiti msaidizi.
Mmiliki na mkurugenzi wa blog ya UNBOUNDARIES NEWS
Bw. Santos Joshua Chuwa akitunukiwa na mgeni rasmi
cheti cha kuhitimu mafunzo ya uandishi wa habari na utangazaji.
No comments:
Post a Comment