MAADHIMISHO YA MIAKA HAMSINI (50) ARUSHA SEKONDARI.
Mtangazaji wa Channel Ten Kipindi cha Mimi na Tanzania Bi Hoyce Temu aliwahi kuwa kushiriki mashindano ya Miss Tanzania akionyesha cheti cha ushirika katika kufanikisha maadhimisho ya miaka 50 tangu shule ya Arusha Sekondari ianzishwe mnamo mwaka 1963 ,Mtangazaji huyo aliwahi kusoma elimu yao ya sekondari katika shule hiyo kongwe Jijini Arusha.
Kutoka
kushoto ni Mtangazaji wa Channel Ten Kipindi cha Mimi na Tanzania Bi
Hoyce Temu ambapoaliwahi kushiriki mashindano ya Miss Tanzania akiteta
jambo na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Bwana Amani Gulugwa katika
maadhimisho ya miaka 50 tangu shule hiyo ianzishwe mwaka 1963 ,wawili
hao waliwahi kusoma elimu yao ya sekondari katika shule hiyo kongwe,
shughuli hiyo iliambatana na uchangishaji wa fedha za ujenzi wa maktaba
ya kisasa itakayogharimu kiasi cha shilingi milioni 4000.
Wapili
kutoka kushoto ni Mbunge wa Arusha Mijini Bwana Godless Lema
akimpa mkono Mwalimu mkuu wa shule ya Arusha Secondary, Joseph
Malamsha mara baada ya kusoma risala yake na kumkabidhi Mgeni rasmi wa
kwanza kutoka kushoto ambaye ni Bw. Sifaeli Molel.

No comments:
Post a Comment