KODI NA MAPATO YA SERIKALI
Wakati tanzania ikiendelea kupambana kujikwamua dhidi ya umasikini, wakusanyaji kodi TRA amekuwa wakijitahidi kukusanya kodi za mapato zitokanazo na shughuli mbalimbali za watu binafsi, mashirika na taasisi ama hasasi mbalimbali.
aidha kwa nanmna nyingine serikali inabagua na kuwatenga watu katika matabaka, pia imekuwa ikidharau baadhi ya shughuli za raia ambapo hupatia riziki.
iwapo wataalamu wa tiba za jadi wataendelea kujitangaza hivi , bure bila malipo serikali itakuwa ikipoteza pato kubwa la kodi ya maendeleo ya nchi kila mwaka.
serikali inapaswa kuhakikisha inapambana na ainazote za matangazo hasa kwa kufuata utaratibu.
No comments:
Post a Comment