Wafanyakazi
nchini waungana na maelfu ya wafanyakazi duniani kote kuadhimisha siku
ya wafanyakazi duniani ambapo hapa nchini kitaifa zinafanyika huko moani
Dodoma; https://youtu.be/QW1qahl0Okg
Serikali yawasimamisha watumishi 56 kwa kuhusika katika kuhujumu mfumo wa kuhakiki wafanyakazi hewa;https://youtu.be/NOQRsacWlhM
Baraza
la madiwani wilayani Geita lamsimamisha kazi mhandisi wa wilaya hiyo
kwa kukiuka maadili ya kazi na kutotoa ushirikiano mzuri pindi
anapohitajika; https://youtu.be/cI30U0dJziw
Waziri
wa afya Ummy Mwalimu amesema serikali inajipanga kikamilifu na wale
wote wanaohusika kurudisha nyuma maendeleo ya wanawake nchini; https://youtu.be/Xln530odhWo
Abiria
waliokua katika ndege ya kampuni ya Auric Air service ya mkoani Mwanza
wamekumbwa na taharuki baada ya ndege kulazimika kutua nje ya uwanja
Bukoba baada ya ndege kupata pancha; https://youtu.be/QIWIy61LOgA
Baraza
la Habari Tanzania MCT latangaza washindi mbalimbali wa tuzo za
waandishi mahiri wa habari nchini huku mshindi wa jumla akiibuka
mwandishi wa TBC Frank Bahati; https://youtu.be/gmzMFh1ikiE
Tazama mahojiano maalumu kuhusu sikukuu ya wafanyakazi duniani https://youtu.be/Po7TxDOdiQA
Yanga
yazidi kujikita kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara baada ya kuifunga
Toto African ya Jijini Mwanza kwa idadi ya magoli 2-1;https://youtu.be/pLzTOkNBUgQ
Naibu
waziri wa michezo nchini Anastazia Wambura amewataka wanariadha wa
afrika mashariki kuacha kutumia dawa za kusisimua misuli; https://youtu.be/VrtgchKqHeo
Makocha
mbalimbali nchini waombwa kuhudhuria mashindano ya umiseta hili kuweza
kuchagua wachezaji wenye vipaji kwa ajili yantimu zao; https://youtu.be/NiNcPWJoyDc
Jumuiya
ya wafanyabiashara ndogondogo imemuomba waziri wa TAMISEMI kuchunguza
kama kiasi cha kodi kilichokusanywa kutoka soko la machinga kompleksi
tangu 2011 kilimfikia mfadhili wa soko hilo kutokana na kupanda kwa deni
la jingo hilo. https://youtu.be/t5MnM-RHoeg
Bunge
la Jamhuri ya muungano wa Tanzania limetakiwa kupitia upya sheria ya
ndoa inayomruhusu msichana wa miaka kumi na nne kuolewa. https://youtu.be/qqIOSI7OVxg
Tume ya haki za binadamu na utawala bora imesema kitendo cha bunge kuzuiwa kurushwa moja kwa moja ni kuminya uhuru wa habari.https://youtu.be/i1RsqBtlaDw
Timu
ya Yanga imeendelea kujikita kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom baada ya
hapo jana kuitandika timu ya Toto African mabao mawili kwa moja. https://youtu.be/u3j13D90hP8
Wanafunzi
wanaoshiriki UMISETA wamekosoa uendeshaji wa michezo kwa shule za
msingi kuwa hailengi kumuendeleza mwanafunzi kimichezo. https://youtu.be/8pxOl0LmsIU
Wadau
wamewaasa wasanii kufikiria maisha maisha yao ya baadae kwa kujiunga na
mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuweza kuendeleza maisha yao baada ya
kuacha muziki. https://youtu.be/5WFDQ8_K4HY
No comments:
Post a Comment