Matukio
katika picha za Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokutana na kuzungumza
na Viongozi wa Kampuni ya Japan ya KOYO na kampuni ya Kitanzania ya SSF
Limited ambazo kwa pamoja zimekusudia kushirikiana ili kuwekeza kwenye
miundombinu ya umeme wa gesi asilia na jua nchini. Mazungumzo hayo
yalifanyika ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam May 9, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Japan ya
KOYO na kampuni ya Kitanzania ya SSF Limited ambazo kwa pamoja
zimekusudia kushirikiana ili kuwekeza kwenye miundombinu ya umeme wa
gesi asilia na jua nchini. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa
Waziri Mkuu jijini Dar es salaam May 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata ufafanuzi wa mikakati ya uwekezaji kwenye
miundombinu ya umeme wa gesi asilia na jua kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa
Kampuni ya KOYO ya Japan, Bw. Norio Shoji wakati alipokutana na ujumbe
wa kampuni hiyo ofisini kwake jijini Dar es salaam May 9, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KOYO ya
Japan, Bw. Norio Shoji baada ya kukutana na Mtendaji huyo na ujumbe
wake ofisini kwake jijini Dar es salaam May 9, 2016. Kampuni hiyo
ikishirikiana na Kampuni ya Kitanzania ya SSF Limited inakusudia
kuwekeza kwenye miundombinu ya umeme wa gesi asilia na jua nchini.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa
Kampuni ya Japan ya KOYO na kampuni ya Kitanzania ya SSF Limited ambazo
kwa pamoja zimekusudia kushirikiana ili kuwekeza kwenye miundombinu ya
umeme wa gesi asilia na jua nchini. Waziri Mkuu alifanya mazungumzo na
viongozi hao ofisini kwake jijini Dar es salaam May 9, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment