Shirikisho
la Vyuo vya Elimu ya Juu CCM Zanzibar limeongea na wanahabari na kutoa
tamko juu ya mwenendo wa kisiasa unaoendelea visiwani Zanzibar ambapo
linawanasihi wananchi wote wapenda Amani na maendeleo ya Zanzibar
wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura siku ya Jumapili ya tarehe 20
Machi 2016 ili kutimiza haki yao ya kikatiba.
Lisome hapa tamko hilo:
No comments:
Post a Comment