"SITAKI KUSIKIA NYIMBO ZA NGWEA ZIKIPIGWA CLOUDS FM..WAO NDO WALIOMFANYA AANZE KUVUTA BANGI ILI KUONDOA MAWAZO"...P FUNK
Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka
kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P Fuck Majani na
kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili
na baadae atatoa barua rasmi.
No comments:
Post a Comment