Mkurugenzi
mtendaji wa BENKI YA CRDB amesema benki hiyo imekuwa na maendeleo ya
kuridhisha tangu kuanzishwa kwake miaka 20 iliyopita
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa
uzinduzi wa maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya benki hiyo
uliofanyika jijiniDar es Salaam
Akizindua sherehe za maadhimisho ya miaka 20 ya benki ya
CRDB, DAKTA KIMEI amesema katika kipindi hicho amana zimeongezeka
kutoka shilingi bilioni 40 hadi shilingi tririoni 4.2 na mikopo
imeongezeka kutoka shilingi bilioni mbili hadi kufikia shilingi tririoni
3.3.
No comments:
Post a Comment