Osita Iheme ‘Pawpaw’.
KUNA kila dalili za staa mwenye umbo fupi anayekimbiza kunako soko la
filamu Nollywood, Osita Iheme ‘Pawpaw’ kufungua bonge la hoteli yake
Sikukuu ya Krismasi mwaka huu (Desemba 25).
Staa huyo aliyejenga hoteli hiyo miezi kadhaa iliyopita katika Jimbo
la Imo huko Owerri, ameshaipa jina hoteli hiyo kuwa itaitwa The
Resident.
No comments:
Post a Comment