TAARIFA HIZI NI ZA UWONGO SIHUSIKI na WALA SIJAWAHI IN MY LIFE KUSHIRIKIANA NA HUYO MTU
Nasikia kuna mtu anasambaza hizi message kwamba eti ni zangu naomba mumpuuze SIHUSIKI na
WALA SIJAWAHI IN MY LIFE KUSHIRIKIANA NA HUYO MTU, SURE NAMBA YA SIMU NI
YANGU LAKINI HUO NI UJANJA
No comments:
Post a Comment