TTCL

EQUITY

Tuesday, March 10, 2015

WAZIRI MKUU MSTAAFU AGUSWA NA MAENDELEO YA WANAWAKE

Aliyekuwa Waziri Mkuu FREDERICK SUMAYE amesema asilimia 70 ya wanawake barani Afrika ndiyo wazalishaji wakubwa lakini hawanufaiki na mafanikio ya jasho lao.


Ametolea mfano wa baadhi ya mikoa hapa nchini yenye mazao makubwa ya biashara kama pamba na tumbaku ambapo wakati wanawake ndiyo walimaji zaidi lakini mauzo yanapofanyika wanaume ndiyo huchukua fedha.

No comments:

Post a Comment