TTCL

EQUITY

Thursday, March 19, 2015

VITA DHIDI YA RAIA NA ASKARI YATAWALA TUNDUMA

Rpc msangi akipita mtaani kuongea na wananchi akiwasisitiza hali ya Amani itawale Mjini Tunduma
  kila kona wananchi walionekana wakizunguka na maji ilikuweza kukabiliana na mikimiki ya mabomu ya machozi

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa Tunduma majira ya mchana 

Mkazi wa Tunduma akionesha bomu la machozi ambalo halijatumika bado, alilopora polisi kisha kutoweka nalo

  Barabara na wananchi  zilifungwa kwakuwasha moto

Diwani wa Tunduma Frank Mwakajoka akiwaeleza wanachi kilichomsibu baada ya kukamatwa na polisi, kushoto ni Mbunge Mhe. Silinde.

No comments:

Post a Comment