Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa kuingia katika
jengo la Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki
Mh.Daniel Kidega katika ukumbi wa Bunge mjini Bujumbura Burundi
ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Baadhi ya wabunge wa EALA wakimsikiliza Rais Dr. Jakaya Kikwete
wakati alipokuwa akilihutubia bunge hilo mjini Bujumbura Burindi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake katika Bunge la Afrika Mashariki huko Bujumbura Burundi leo.
No comments:
Post a Comment