Video ya Mfanyakazi wa hoteli alivyonaswa akipekua vitu vya mteja chumbani
Ni jinsi mfanyakazi wa hoteli alivyorekodiwa na camera ya Laptop ya mteja alieiacha kwenye chumba cha hoteli na kuacha funguo reception, baada aliporudi akajionea jinsi mfanya usafi huyo alivyopekua na kugusagusa vitu vyake.
No comments:
Post a Comment