Mimi niliona kama kitu kigeni, hasa sana kwa mazingira ya hospitali. Hivi ikitokea mtu akafanya hivi kwa mazingira ya hospitali zetu jinsi zilivyo, naomba uniambie namna ambavyo unadhani manesi na madaktari watamfanya huyu jamaa ingekuwa ni hospitali za Kibongo.
No comments:
Post a Comment