TTCL

EQUITY

Sunday, November 23, 2014

Shirika la ndege ya abiria Emirates yafanya ukarabati wa ndege yake

Wakati mwingine kama raia wa kawaida huwa kuna vitu vinaweza kutupita sababu havipo kwenye kona zetu za kila siku ndio maana millardayo.com inakukusanyia vyote na kukuwekea hapa.



Hivi ndivyo ndege ya shirika la Emirates ilivyofanyiwa ukarabati kwa kuondolewa vitu vyake vya zamani na kuweka vipya, yaani kwa ufupi ilikua ‘gereji’ na wanasema ukarabati huu ni ukarabati wa kiwango kikubwa kufanywa kwenye ndege yoyote. chakujiuliza hata ndege zetu hapa bongo zinafanyiwa ukarabati wa namna hii..

ANGALIA VIDEO KWA KUBOFYA HAPO CHINI...


No comments:

Post a Comment