TTCL

EQUITY

Tuesday, November 18, 2014

KIMENUKA INSAGRAM MDA HUU WEMA APOST UJUMBE HUU....DIAMOND AMJIBU


My momma always told me to listen to what my heart desires, and Iam doin jus dat.... Then Diamond; posted this;


Msanii wa Bongo flave Nassibu Abdul aka Diamond platnumz kwenye page yake ya facebook amepost picha hii na kuandika ujumbe unaosomeka.
"Bahari ishachafuka ndugu zangu, ntafutieni mfuko nitapike...."Sijui ndio basi tena na Wema Sepetu au vipi yetu macho tu. Acha movie iendelee!

No comments:

Post a Comment