Mmoja wa Majeruhi wa mapigano hayo akiwa amekatwa katwa na mapanga sehemu za kichwani
Unaambiwa inakuwa majira ya usiku ndipo utekelezaji huu wa kikatili ndio unafanyika,mapigano haya huusisha makabila mawili Sudanese Nuer na Wacongo,huvaana na kulambana mapanga nyakati za usiku kwa kuviziana,na watu kadhaa wanaendelea kupoteza maisha,taarifa zisizo rasmi zinasema matukio hayo yanafanyika kila siku majira ya usiku katika juma hili,
Watu wakiwa kwenye Camp kipindi cha mchana ambapo mauaji hayo yalifanyika
Vita kati ya kabila la Sudanese Nuer na Wacongo katika Kambi ya wakimbizi iliyopo Kakuma nchini Kenya,unaambiwa Maiti zinaongezeka Usiku na mchana.
No comments:
Post a Comment