WATU 50 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA NDEGE URUSI..
Magari ya kubebea wagonjwa yalionekana nje ya uwanja wa Kazan airport.
Watu 50 waliokuwa katika ndege aina ya Boeing 737 wamepoteza maisha baada ya ndege hiyo kulipuka wakati ikijaribu kutua jijini Kazan, Urusi ikitokea Moscow!
No comments:
Post a Comment