TTCL

EQUITY

Friday, October 31, 2014

Urembo wa mavazi, mmmh... mcheki Kim Kardashian


Tunafahamu kuwa Kim Kardashian anapenda fashion, lakini kwa vazi hili alilokuwa amevaa jana mchana kweupe wakati yeye na mumewe Kanye West walikuwa wakikatiza mitaa ya jiji la Los Angeles Jumapili ya jana huenda likawa limezidi.

Mrembo huyo mwenye miaka 33 aliamua kuwapa watazamaji show ya bure ya mgongo wake baada ya kuvaa kitop kilichoziba sehemu za mbele tu lakini nyuma kikamwaga radhi. Pengine maana ya kuvaa vazi hilo ni kumpa mumewe nafasi nzuri ya kuona mgongo wa mke wake kwakuwa mara nyingi Kanye alikuwa nyuma kuushuhudia bila kujali macho ya watu wengine.


No comments:

Post a Comment