TTCL

EQUITY

Wednesday, October 22, 2014

Mabeste kuendesha PB

Rapa na pia mfanyabiashara katika sekta ya Burudani, Mabeste ameonesha uwezo wake mwingine wa kuwapatia mashabiki burudani, ambapo msanii huyo ataendesha kipindi kikali cha burudani EATV, Planet Bongo.
msanii wa bongofleva nchini Mabeste
Mashabiki wa Mabeste kupitia EATV, wataweza kumuona staa huyu akionesha uwezo wake mbali na mahojiano na pia video za muziki.
Kwa burudani zaidi, Mtazame Mabeste kupitia Planet Bongo siku ya Jumatano, kuanzia saa 3 usiku.

No comments:

Post a Comment