HESHIMA! Wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’
na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’ wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu
kwa kupanga ghorofa.
Mjengo wa wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’
Akizungumzia mjengo huo walioupanga maeneo ya Mbezi-Jogoo, jijini
Dar, H. Mama alisema yeye na mume wake wameamua kupanga nyumba hiyo si
kwa sababu ya kumfunika mtu bali wanapenda kuwa huru na kuishi vizuri.
Flora Mvungi ‘H.Mama’ akiwa ndani ya mjengo hup na familia yake.
“Hatushindani na mtu katika maisha yetu bali cha msingi tunaangalia
nafsi zetu zinataka nini, kuhusu gharama yake, niache kidogo,” alisema
Flora.Wema amepanga nyumba ya kawaida maeneo ya Kijitonyama jijini Dar.
No comments:
Post a Comment