Msanii
wa muziki Chiwaman, pamoja na mama wa Mtoto wake Rose Ndauka wamewaacha
mashabiki wao katika sintofahamu kubwa kwa kitendo chao cha kumwagana
na kuiweka sababu ya wao kutengana kuwa ni siri kubwa licha ya jitihada
zilizofanyika kujua ukweli.
Rose na Chiwaman enzi za mahaba mazito
Katika
mahojiano ambayo tumefanya na wasanii hawa, kila upande wameweka wazi
kuwa swala hili ni la nje ya sanaa wanazofanya huku Chiwaman akienda
mbali zaidi na kukanusha kubakia na hisia za upendo kwa Rose.
No comments:
Post a Comment