TTCL

EQUITY

Saturday, September 27, 2014

Rapper Young Dee Ndio Balozi Wa Channel Ya Star Times ‘QYou’

deee
Rapper Young Dee ameingia kwenye orodha ya wasanii mabalozi wa bidha tofauti Tanzania baada ya kuingia mkataba na kampuni ya King’amuzi cha Star Times kama balozi wa Channel ya QYou. QYou ni channel ya burudani na mambo ya vijana
Young anasema ameridhishwa na pesa aliyolipwa ilikuwa balozi mzuri na atawakilisha bidha hio inavyotakiwa ili kupata dili zingine.

No comments:

Post a Comment