Kumbe
ilikua mwaka Jana wakati Ana shoot Video ya Shemeji maeneo ya Mikadi
Beach alipomaliza wakatokeza hao wadada wawili inaonekana ni MTU Na Dada
Yake maana wamefananaĆ a shingo zao Kama jogoo, walikua wanaogelea eti
wakamwomba wapige picha Mez B akachomoa lakin wadada wakaendelea
kusisitiza eti Director wake Wa Video akam ng'ata sikio kuwa wakubali
kupga picha Kwa Camera Ya Director Kwa ahadi kuwa wakitoka hapo atazi
delete, picha zikapigwa Na MezB anakuja kushtuka HV karibun wakat picha
zimevuja Na alipomuuliza Director akamjibu kuwa huenda kijana flan
ambaye alikua anafanya kazi Na Producer ndio atakua amevujisha picha Kwa
sababu walikua wamegombana Na Director, Mama Mez B ambaye ni Mchungaji
bado hajazipata taarifa hizi Je akizpata itakuaje?
No comments:
Post a Comment