Star wa filamu za kibongo, amabaye siku zote ni mtata Irene Uwoya anadaiwa hana mzuka kabisa wa kutoka kimapenzi na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani wanaishia kuhema hema tu.
Inadaiwa kuwa Uwoya anapenda wanaume wasio wanene, wenye miili ya kimazoezi na wasio na vitambi kwa madai wako vizuri sana kunako sita kwa sita na mwenyewe huvutiwa nao sana. Chanzo kimoja kutoka kambi ya Uwoya kikizungumza jana kilisema:
“Wanaume wengi wakiwemo wenye pesa zao wamekuwa wakimsumbua Uwoya , yeye hana muda nao maana sio type yake. Anapenda wanaume wenye vifua vya mazoezi na wasio na vitambi, yeye anaona wenye vitambi na wanene hawawezi gwaride la sita kwa sita”.
Hata hivyo Uwoya hakupatikana kuzungumzia suala hilo lakini takribani mwezi sasa alipohojiwa na jarida moja linalotoka kwa mwezi mara mbili alisema kuwa hapendi wanaume wanene linapokuja suala la mahausiano ya kimapenzi.
No comments:
Post a Comment