Akipiga
stori na mwandishi wetu, Aunty Lulu alisema kwa nyakati tofauti
marafiki wamemponza akaachika kwenye uhusiano wa wapenzi wake,
kumgombanisha na watu anaofanya nao kazi na mambo mengi yanayofanana na
hayo hivyo kwa sasa hahitaji marafiki.
“Nimetendwa
sana na marafiki, bora niachane nao niishi kivyanguvyangu, nijitafutie
maisha yangu mwenyewe. Sihitaji kabisa marafiki kwa sasa,” alisema Aunty
Lulu.
Read more: http://jijiletuleo.blogspot.com/2014/09/aunty-lulu-alia-kutendwa.html#ixzz3EY2ZKvL7