Wasanii 50 wa muziki a Bongo Fleva, Hiphop,
Injili, Dance na Taarab wamekuja pamoja na kufanya wimbo wa Kuhamasisha
Muungano unaotoka April 26 2014. Sababu ya kufanya wimbo huu ni
kuhamasisha Amani na muungano wa Tanganyika Na Zanzibar. Hii ni mara ya
kwanza sauti za wasanii 50 zinasikika kwenye wimbo wa dakika 3.
No comments:
Post a Comment