Kupitia
akaunti ya Said Fella ambaye ni C.E.O wa MKUBWA NA WANAE FOUNDATION na
meneja wa msanii Mh Temba, amefunguka na kusema anamkabidhi Mh. Temba
mjengo wake ikiwa ni mjengo wa pili kumpatia kutokana na shughuli nzima
ya muziki,
Said Fella aliweka picha hiyo hapo juu na kuambatanisha maneno haya "Wadau
namshukuru mungu leo mchana nimemkabidhi mbabe wa mdomo nyumba yake ya
pili hii ipo mbagara kirungule asante kwa mashabiki wetu wote wanao
tuwezesha na vijana wengi kubadirisha maisha asante sana"
Temba akiwa kwenye mjengo wake |
No comments:
Post a Comment