Mara nyingi mapenzi ni matamu lakini cha kushangaza hakuna
shule ambayo unaweza kwenda kwa ajili ya kufundishwa jinsi ya kupenda au mambo
ya kufanya kudumisha uhusiano wako leo hii nimekuandalia dondoo muhimu za kufata
kabla ya kuwatambulisha washikai demu wako mpya
HAKIKISHA UNAMPATA
ANAYEKUFAA
Dondoo hii tunachukulia kwamba wewe tayari una mpenzi
tayari.. na umeridhika kweli ndiye anayekufaa kwa maisha yako ya ujana kama hujui jinsi ya
kupata mpenzi wa kweli
PELELEZA HISTORIA
YAKE
Hii ni muhimu sana kama unataka kulinda uhusiano wako pamoja
na marafiki zako, jaribu kupeleleza
historia yake ya kimapenzi kabla ya kuwatambulisha marafiki ili ujue kama amewahi kuwa na
uhusiano wa kimapenzi na rafiki yako au la, maana husipokuwa makini katika hili
waweza kujikuta unapoteza urafiki wako na best wako au kumpoteza mpenzi wako au
wote wawili
NENDA NA MDA
Jitahidi kutochelewa sana kuwatambulisha marafiki zako kwani
sisi ni binadamu na kawaida ya binadamu lazima atembee katika miangaiko ya hapa
na pale na uenda huyo mpenzi wako akakutana na rafiki yako wakajikuta
wakitongozana na kuja kuwa aibu pindi utakapokuja kuwatambulisha
EPUKA KUJINADI
Unapowatambulisha washkaji demu wako jaribu kumchukulia poa
na kumfanya wa kawaida epuka kumsifia sana kwani kufanya hivo unakaribisha
matamanio kutoka kwa rafiki zako ambao wanaweza wakaja kumtongoza badae.
No comments:
Post a Comment