TTCL

EQUITY

Friday, January 3, 2014

POLISI ARUSHA YABAINI MBINU ZAIDI ZA USAFIRISHAJI WA MADAWA YA KULEVYA

POLISI ARUSHA YABAINI MBINU ZAIDI ZA USAFIRISHAJI WA MADAWA YA KULEVYA

Pichani, askari wa Jeshi la Polisi akiwa anatoa madawa ya kulevya aina ya Mirungi iliyokuwa inasafirishwa toka Namanga wilayani Longido kuelekea Arusha mjini ambapo watuhumiwa walikuwa wameificha kwenye bampa za magurudumu ya mbele pamoja na ndani ya cover milango ya mbele.

Jeshi hilo hilo lilifanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru ambao ni Zakayo Mwita na Juma Ramadhan ambao walikuwa kwenye gari aina ya Noah lenye namba za usajili T.703 CMC

No comments:

Post a Comment