Jamani ni hivi wataalamu wanasema
kuwa eti inachukua dakika tatu tu, kumridhisha mtu kimpenzi! Tangu juzi
wanatangaza hizi habari kwenye taarifa ya habari hapa Marekani. Chini ya dakika
tatu hakuna raha kwa mwanamke.
Hizi dakika tatu hadi 13 hazihusishi
foreplay, yaani mambo mnaofanya kabla ya tendo eneyewe. Na huyo mwanaume
anayefanya dakika 13 bila kupumzika ana kazi.
Wanasema ni vigumu kwa wanaume
wenye umri mkubwa na wanaume wenye umri mdogo kufanya tendo kwa muda mrefu
kabla ya kumaliza.
No comments:
Post a Comment