Fani ya muziki wa jukwaani hapa
nchini imekuwa ni chanzo cha kuporomoka kwa maadili ya
mtanzania. Hali hiyo inasababishwa na :
1.MAVAZI WANAYOVAA
2.KUCHEZA NUSU UCHI
3.KUFANYA MAPENZI CHOONI
4.KUPIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZISAMBAZA MITANDAONI
5. KUTOA VIDEO ZA X
1.MAVAZI WANAYOVAA
2.KUCHEZA NUSU UCHI
3.KUFANYA MAPENZI CHOONI
4.KUPIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZISAMBAZA MITANDAONI
5. KUTOA VIDEO ZA X
Uchunguzi wa kina unaoendelea kufanywa
na mtandao huu umebaini kuwa, kuongezeka kwa wimbi la Picha za utupu
au nusu utupu ni matokeo ya maovu na uchafu unaofanyika ndani ya
makundi haya ya sanaa ambayo hujiita "VIOO VYA JAMII"....
Hatua za awali za uchunguzi huu
zinaonesha kuwepo kwa kumbi za starehe hapa nchini ambazo watu
huingia na kucheza UCHI au wakiwa NUSU UCHI.
Mbali na kucheza nusu uchi,
tathimini inaonesha kuwa watu hutongozana na kufanya mapenzi CHOONI
au HADHARANI mithiri ya WANYAMA wa porini..
Zifuatazo ni picha zinazothibitisha uchunguzi wetu wa kutongozana na kufanya hadharani.....
TUNA MENGI AMBAYO TUNAHITAJI
KUYAWEKA HADHARANI BILA KUYAFICHA ILI JAMII IJUE NA ICHUKUE HATUA
KWA MANUFAA YA TAIFA LETU.....





No comments:
Post a Comment