"TUNAWAPENDA SANA, TUNAWASHUKURU KWA UPENDO NA USHIRIKIANO"
Moyoni ninayo furaha ya pekee kuwashukuru wadau wote na wapenzi wa blog hii (UNBOUNDARIES NEWS), Hakika upendo na ushiriki wenu wa namna mbalimbali ikiwemo ushauri na maoni hivyo ndivyo vilivyonifikisha hapa nilipo.
Sina namna niwezavyo kuwashukuru zaidi na wapenda sana na zidi kuwashukuru kwakuwa ninyi ndio mhimili wa mimi kufikia hapa leo nilipo, napenda kuwatakia kheri ya Noel, na mwaka mpya.
Zikiwa zimebaki siku 6 tangu leo naahidi kuwa yote mliyokuwamkinishauri nitatenda sawasawa namtakavyo kwakuwa ninyi ndio walaji na mimi ndiye mhudumu wenu " sasa mtapata kile mkitarajiacho", namuomba MUNGU atuvushe wote salama na kuifikia 2014 kama ilivyo leo mimi na wewe tulivyo pata kibali kwa MUNGU na kuiona NOEL (CHRISTMAS).
No comments:
Post a Comment