Mtu mmoja amekufa na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Hood Limited lenye namba za usajili T 159 AXM lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea Arusha kupinduka eneo la Melela- Mlandizi, Mvomero mkoani Morogoro.
Basi hilo lilikuwa likijaribu kulikwepa gari lingine na kuingia mtaroni.
No comments:
Post a Comment