Hii
ndo Rasimu ya Pili ya Katiba mpya iliyokabidhiwa kwa Rais
Kikwete leo...Nimejitahidi kuikuza ili iweze kusomeka vizuri....
Rasimu hii ni ndefu kidogo, ina ibara 271 ikilinganishwa na ile ya kwanza ambayo ilikuwa na ibara 240...
Rasimu iko hapo chini, ukipabofya
itafunguka kwenye tab mpya ili uweze kuisoma vizuri....Upande
wa juu kushoto kuna option ya kui download....
<< RASIMU YA PILI, BOFYA HAPA>>
Bofya hapo juu uisome rasimu ya pili ya katiba
No comments:
Post a Comment