HABARI INAYOZUNGUMZIA AGNESS MASOGANGE KUFANYA VIDEO PAMOJA NA TUNDAMAN
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini
Khalid Ramadhani Tundamani anatarajia kumwonyesha kwa mara ya kwanza
'Video queen' Agnes Gerad maarufu Masogange katika video ya wimbo wake
wa Msambinungwa. Akiongea Tundaman alisema ataondoka nchini
Januari 5, 2014 kwenda Nairobi kwa ajili ya utengenezaji wa Video hiyo
na kwamba ameamua kufanya video hiyo akiwa na Masogange kwani ni
msichana anayefanya vizuri katika video nyingi za wasanii
No comments:
Post a Comment