Anaitwa
Mika Shay ana bonge la figa mi sisemi jionee mwenyewe, fununu za kitaa
zimezagaa ya kuwa Agness Gerald almaarufu kama Agness Masogange anakopi
swagger za mdada huyu...Mi sifungamani na upande wowote...Mpira upo
kwako mdau,just cheki hizo hpicha zote hapo hapo chini sidhani kama kuna
umuhimu wa kuziweka za Masogange hapa kwa wakati huu...Na uhakika
wamjua na wajua swaga zake..So,kwa mantiki hiyo i hope utakua judge
mzuri...SWALI HAPA ni KWELI MASOGANGE ANAKOPI NA KUPEST SWAGA ZA MIKA
SHAY?!!Tupia jibu lako kwenye comment box tuujue ukweli ni upi mdau... |
No comments:
Post a Comment