TTCL

EQUITY

Monday, November 18, 2013

TAZAMA PICHA NYINGINE ZA ILE HOTELI ILIYOCHINI YA BAHARI

Aerial view. Picture: Genberg Art UW Ltd, photo by Jesper Anhede.

Manta Resort” Hotel hii ya kipekee iliyo visiwani Zanzibar yawa gumzo kwenye Vyombo vya Habari vya Kimataifa...

Ina vyumba chini ya maji na Bei ya kulala kwa siku ni $900 single na a$1,500 double..Hoteli imekua gumzo kwenye vyombo vya habari vya kimataifa na ndio hoteli pekee yenye vyumba vya chini ya maji Barani Africa ambapo mtu akiwa chumbani anaweza ona samaki wakipita nje ya dirisha lake…Tazama picha zaidi hapa chini,,,,

1Unaambiwa kinachoshindikana ni kumtengeneza binadamu mpya tu kwenye hii dunia, huko Pemba imezinduliwa hoteli mpya mwezi huu yenye vyumba 16 iitwayo The Manta Resort ikiwa designed by Swedish company Genberg Underwater Hotels kwa mujibu wa CNN.
Yani ukiwa umelala chumbani unaona samaki kabisa kupitia madirisha ambapo gharama yake kulala kwa watu wawili ni dola za Kimarekani 1500 ambayo ni zaidi ya milioni mbili za kitanzania na kwa mtu mmoja ni $900 ambayo inagonga kwenye milioni moja na laki nne hivi.
2
3
4
5
6
7Hii ni karibu na Hoteli yenyewe.
Uko tayari kulala kwenye hoteli chini ya bahari?

No comments:

Post a Comment