muulize mpenzi wako anayaweza.....?
Mmoja wa mamiss akicheza ‘Aladji’ huku wenzake wakimshangilia.
Njemba hii iliyoshika chupa ya bia ilishindwa kuvumilia na kuingia kati kusakata na mrembo huyo.
Mrembo analiyekuwa akishikilia Taji la Miss Tanzania, Miriam Gerald
(kulia) akibadilisha mawazo na mmoja wa warembo ufukweni hapo.
No comments:
Post a Comment