Katika familia zetu hizi tunashindwa kuongea ukweli na kutoelewa mambo
watoto wetu wa kiume wanaharibiwa na ndugu zetu tunaokaa nao majumbani
mwetu ndio wanawafundisha mambo mengi ya ajabu we mwanaume mtu mzima
unamlaza na mtoto mdogo unategemea nini wale wenye tabia za ajabu
wanawaaribu watoto iwe ni mjomba baba mdogo kaka ata baba ambaye sio
wakwake baadhi ya wanaume sasa kuweni makini sana wamama watoto
wanaharibika.
No comments:
Post a Comment