Hawa ni warembo wa huko Swaziland wakisuburi kuchaguliwa kama wake, na
Mfalume wao king Mswati, kwani ni utaratibu wake kuchagua mwanamke
bikiri kila baada ya muda fulani na kuoa. Hivyo ikifikia hicho kipindi
wanawake wingi hujitokeza kila mtu akisubiri bahati yake kuchaguliwa na
mfalme huyo, hapa nadhani wengi wetu tumeshaanza kumeza mate nakujisemea moyoni laiti wangekuwapo Tanzania, ama sivyo mimi ningekuwa Mfalme...
King Mswati Mwenyewe
No comments:
Post a Comment