Dada huyu yamemkuta makubwa, ni pale alipoenda kucharge sim kwa jirani yake baada ya mahala anapoishi umemekukatika. Kwa bahati mbaya kijana mmoja aliyekuwa akiishi nyumba hiyo aliona sim ngeni nyumbani hapo ikiwa inachajiwa na kuichukua kisha kuanza kuperuzi mara tu alipoingia kwenye gallery alikutana na picha za utupu kadhaa za dada huyo na kuanza kujihamishia moja baada ya nyingine. HATARI SANA. CHUNGA SIMU YAKO..!!
Wednesday, November 20, 2013
KUWA MAKINI SANA NA MATUMIZI YA SIMU YAKO: SOMA HAPA YALIYO MKUTA DADA HUYU..!!
Dada huyu yamemkuta makubwa, ni pale alipoenda kucharge sim kwa jirani yake baada ya mahala anapoishi umemekukatika. Kwa bahati mbaya kijana mmoja aliyekuwa akiishi nyumba hiyo aliona sim ngeni nyumbani hapo ikiwa inachajiwa na kuichukua kisha kuanza kuperuzi mara tu alipoingia kwenye gallery alikutana na picha za utupu kadhaa za dada huyo na kuanza kujihamishia moja baada ya nyingine. HATARI SANA. CHUNGA SIMU YAKO..!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment