TTCL

EQUITY

Thursday, June 27, 2013

SCANDINAVIA EXPRESS YA DAIWA NA MAHAKAMA


KAMPUNI YA USAFIRISHAJI ABIRIA SCANDNAVIA SASA KUFILISIKA

Vifaa vya Ofisini mali kampuni ya Scandinavia Express vikiwa vimetolewa nje jijini Dar es Salaam jana. Vilitolewa na madalali wa mahakama kwa madai ya kushindwa kulipa mkopo ambao hata hivyo haikufahamika ni kiasi gani. Picha na Fidelis Felix

No comments:

Post a Comment