TTCL

EQUITY

Sunday, May 1, 2016

Pata Habari kutoka vituo vya televisheni za hapa nchini leo Mei Mosi



Wafanyakazi nchini waungana na maelfu ya wafanyakazi duniani kote kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani ambapo hapa nchini kitaifa zinafanyika huko moani Dodoma; https://youtu.be/QW1qahl0Okg
Serikali yawasimamisha watumishi 56 kwa kuhusika katika kuhujumu mfumo wa kuhakiki wafanyakazi hewa;https://youtu.be/NOQRsacWlhM
Baraza la madiwani wilayani Geita lamsimamisha kazi mhandisi wa wilaya hiyo kwa kukiuka maadili ya kazi na kutotoa ushirikiano mzuri pindi anapohitajika; https://youtu.be/cI30U0dJziw
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema serikali inajipanga kikamilifu na wale wote wanaohusika kurudisha nyuma maendeleo ya wanawake nchini; https://youtu.be/Xln530odhWo
Abiria waliokua katika ndege ya kampuni ya Auric Air service ya mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya ndege kulazimika kutua nje ya uwanja Bukoba baada ya ndege kupata pancha; https://youtu.be/QIWIy61LOgA
Baraza la Habari Tanzania MCT latangaza washindi mbalimbali wa tuzo za waandishi mahiri wa habari nchini huku mshindi wa jumla akiibuka mwandishi wa TBC  Frank Bahati; https://youtu.be/gmzMFh1ikiE
Tazama mahojiano maalumu kuhusu sikukuu ya wafanyakazi duniani https://youtu.be/Po7TxDOdiQA
Yanga yazidi kujikita kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara baada ya kuifunga Toto African ya Jijini Mwanza kwa idadi ya magoli 2-1;https://youtu.be/pLzTOkNBUgQ
Naibu waziri wa michezo nchini Anastazia Wambura amewataka wanariadha wa afrika mashariki kuacha kutumia dawa za kusisimua misuli; https://youtu.be/VrtgchKqHeo
Makocha mbalimbali nchini waombwa kuhudhuria mashindano ya umiseta hili kuweza kuchagua wachezaji wenye vipaji kwa ajili yantimu zao; https://youtu.be/NiNcPWJoyDc
Jumuiya ya wafanyabiashara ndogondogo imemuomba waziri wa TAMISEMI kuchunguza kama kiasi cha kodi kilichokusanywa kutoka soko la machinga kompleksi tangu 2011 kilimfikia mfadhili wa soko hilo kutokana na kupanda kwa deni la jingo hilo. https://youtu.be/t5MnM-RHoeg
Bunge la Jamhuri ya  muungano wa Tanzania limetakiwa kupitia upya sheria ya ndoa inayomruhusu msichana wa miaka kumi na nne kuolewa. https://youtu.be/qqIOSI7OVxg
Tume ya haki za binadamu na utawala bora imesema kitendo cha bunge kuzuiwa kurushwa moja kwa moja ni kuminya uhuru wa habari.https://youtu.be/i1RsqBtlaDw
Timu ya Yanga imeendelea kujikita kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom baada ya hapo jana kuitandika timu ya Toto African mabao mawili kwa moja. https://youtu.be/u3j13D90hP8
Wanafunzi wanaoshiriki UMISETA wamekosoa uendeshaji wa michezo kwa shule za msingi kuwa hailengi kumuendeleza mwanafunzi kimichezo. https://youtu.be/8pxOl0LmsIU  
Wadau wamewaasa wasanii kufikiria maisha maisha yao ya baadae kwa kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuweza kuendeleza maisha yao baada  ya kuacha muziki. https://youtu.be/5WFDQ8_K4HY

No comments:

Post a Comment