TTCL

EQUITY

Friday, February 19, 2016

Tazama video ya ugomvi wa Mh. Msigwa na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kasesela

Mbunge wa jimbo la Iringa mjini, Mh. Peter Msigwa amepishana kauli na Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela, kwa madai yakuwa amekuwa akimsema vibaya kwa kutoshiriki vikao mbalimbali vya Halmashauri ya Iringa mjini kufuatia kutokea kwa maafa, itazame hapa chini


No comments:

Post a Comment