TTCL

EQUITY

Tuesday, December 16, 2014

UNYAMA...!! AUAWA KWA KUKATWA NA JEMBE, KISA AMESHANGILIA MATOKEO YA UCHAGUZI WILAYANI KAHAMA

Kamanda  wa polisi mkoa wa Shinyanga Justus
Uchaguzi wa serikali za mitaa nchini uliofanyika jana umeendelea kumwaga damu ambapo  mwanamme aitwaye Simeo Isaka (42),mkazi wa kijiji cha Ngokolo kata ya Bukomela wilayani Kahama mkoani Shinyanga, ameuawa kwa kukatwa na jembe kichwani na watu wasiojulikana wakati akishangilia ushindi wa mgombea wa Chadema ngazi ya mwenyekiti wa kijiji.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana.

Kamanda  wa polisi mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha  amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

No comments:

Post a Comment