TTCL

EQUITY

Saturday, December 6, 2014

SIKU YAKE YA KUZALIWA: Jackline Wolper Awatembea Wazee Wasiojiweza

SIKU YAKE YA KUZALIWA: Jackline Wolper Awatembea Wazee Wasiojiweza
  • SIKU YAKE YA KUZALIWA: Jackline Wolper Awatembea Wazee Wasiojiweza 1


 
















Leo ni siku ya kuzaliwa ya Muigizaji  Jackline Wolper, akiongozana na baadhi ya waigizaji wenzie wakiwemo Kajala na Nanaiki, Wamewatembelea  wazee wasio jiweza na hiki ndicho alicho andika kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM.
“Jamani wapenzi wangu flwz wangu wote sku yangu yakuzaliwa ilikua poa saana jmn am happy nimetembelea ktuo hiki cha wazee wasojiweza kinachosimamiwa na masista... kiukwel namshukuru Mungu kwa moyo waupendo namapenzi kuwaza nakukumbuka kma kuna watu kma hawa ambao pia wanapenda kupendwa na kuthaminiwa.. Asante Mama na Baba kwa ushauri na malezi bora yakuwasikiza.. nawapenda sana asante tena natena kwa malezi yenu wazazi na jamii iliyonizunguka.. Nawapenda wote”
SIKU YAKE YA KUZALIWA: Jackline Wolper Awatembea Wazee Wasiojiweza 2
SIKU YAKE YA KUZALIWA: Jackline Wolper Awatembea Wazee Wasiojiweza 3

No comments:

Post a Comment