TTCL

EQUITY

Monday, December 15, 2014

Shamsa Ford:Ungetamani Kuniambia Nini Kabla Mwaka Huu Kuisha

Shamsa Ford:Ungetamani Kuniambia Nini Kabla Mwaka Huu Kuisha

Ikiwa zimebaki siku chache kuumaliza mwaka 2014.Muigizaji  wa filamu Shamsa  Ford anaetamba mwaka huu kwenye filamu ya CHAUSIKU, amewataka mashabiki wake na wapenzi wa filamu hapa nchini wamshauri chochote kuhusiana na kazi  zake na maisha yake ya sanaa kwa ujumla.
 Shamsa  ambae ni mama wa mtoto mmoja, aliweka picha yake nakuandika;
“Ni kitu gani ungetamani kuniambia kabla ya huu mwaka KUISHA”
Jina la Shamsa Ford, lilijitokeza sana mwaka huu kwenye magazeti ya udaku na mitandaoni baada ya kufananishwa ya yule dada wa kwenye  ile skendo  ya muheshimiwa Machemli.
Shamsa Ford amewahi kutamba kwenye filamu kadhaa  kama Zawadi ya Birthday, Fisadi wa mapenzi na nyingine nyingi.
Nafasi ni yako mdau, hebu mwambie kitu.

No comments:

Post a Comment